Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
za mwisho na kuweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Muasisi na askofu
Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dkt. Moses Kulola wakati wa ibada ya
mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza
leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bibi.Elizabeth Kulola mjane wa
Marehemu Askofu Dkt.Moses Kulola,aliyekuwa muasisi na Askofu Mkuu wa
Kanisa laEAG(T) wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya
kanisa huko Bugando Mwanza leo.
Picha na Freddy Maro - Ikulu
Picha na Freddy Maro - Ikulu