COMING SOOOOON!
NA RAMA DEE
Ten's special to celebrate
NA RAMA DEE
Huu ndio muonekano wa video mpya ya Rama Dee
baada ya "Kuwa Na subira" kazi imefanyikia Australia Gold cost,Kiwango
ni kizuri cha kimataifa so kaa sawa unajua ni ngoma gani!!??...tega
macho na mackio pia nashukuru sana kwa kuweza kuupokea vizuri mziki
mzuri unaofanywa na mimi,,,pa1 sana
Ten's special to celebrate
- Name?
- Mambo unayopenda?
- Siku ambayo huto isahahu?
- Vinavo kuudhi?
- Rangi uipendayo?
- Aina ya warembo uwapendao?
- Kitu ukipendacho zaidi kwa mwanamke/mwanaume?
- Jambo ambalo hujawahi kusimulia?
- Unafanya nini ukiwa na mawazo/stress?
- Mambo unayotamani kufanya na bado hujafanya?