NYWELE NI PAMBO KUBWA KWA MWANAMKE
Waswahili wanasema "Akili ni nywele kila mtu ana zake" ila kwa upande wa mwanamke ni zaidi ya hayo kwani ni pambo linalomfanya aonekane nadhifu na mwenye mvuto zaidi.
Wanawake hutmia muda wao mwingi katika kutengeneza nywele kwani ni kitu ama kiungo muhimu kwa kuliko vyote katika mwili na muonekano wa mwanamke
Kuna style tofauti ambazo humpendeza kila mmoja kulingana na muonekano wake wa sura yake.
kua nasi kwa kujua zaidi ni staili ipi itayo kufaa........
NAME: Agnes Bernard
AGE: 19yrs
OCCUPATION: 1st year student at IFM perusing the degree in tax management.
HOBBIES:swimming,reading novels,traveling and praying.
ACTIVITIES:designing and modelling.
ROLE MODELS:naomy campbell and millen magessa
.
FUTURE EXPECTATIONS:to be a great designer and model b'coz all i got z faith and much strength.i believe in myself as an upcoming strong woman who is much dedicated into fashion.ama 'go getter' and not 'a stopper',was born into fashion and fashion is who i am b'coz it is what swims in my blood streams,each beat my heart makes has a sound of fashion and i smell fashion allover my nostrings