Artist of the week

COMING SOOOOON!
NA RAMA DEE

Huu ndio muonekano wa video mpya ya Rama Dee baada ya "Kuwa Na subira" kazi imefanyikia Australia Gold cost,Kiwango ni kizuri cha kimataifa so kaa sawa unajua ni ngoma gani!!??...tega macho na mackio pia nashukuru sana kwa kuweza kuupokea vizuri mziki mzuri unaofanywa na mimi,,,pa1 sana









Ten's special to celebrate
  1. Name?
  2. Mambo unayopenda?
  3. Siku ambayo huto isahahu?
  4. Vinavo kuudhi?
  5. Rangi uipendayo?
  6. Aina ya warembo uwapendao?
  7. Kitu ukipendacho zaidi kwa mwanamke/mwanaume?
  8. Jambo ambalo hujawahi kusimulia?
  9. Unafanya nini ukiwa na mawazo/stress?
  10. Mambo unayotamani kufanya na bado hujafanya?