Tambua Ukweli Uliosemwa na Mmoja wa wanafunzi wa wanaosoma vyuo vikuu vya dododm juu ya Hizi Picha na Video zinazosamabaa kwenye Mitando
Kama ni kweli basi itabidi
tuseme kuwa wanafunzi wa vyuo vya Dodoma ndio wanaongoza kwa upigaji wa picha za
utupu na video za ngono hapa Bongo. Kashfa za picha chafu kutoka UDOM, CBE
Dodoma na vyuo vingine ndizo zimetawala mitandaoni lakini je, ni kweli au
wanasingiziwa tu? Hata VIDEO HII MAARUFU KWA JICHO LA NGOMBE:inasemekana siyo
wanafunzi wa CBE Dodoma ila tu ni wasela wa mtaani waliokuwa wakiishi karibu na
chuo cha CBE Dodoma.
Nimelileta hili baada ya mdau
mmoja kuleta picha, tena kwa mikwara mingi, akidai kuwa ametuma picha za
mwanafunzi wa Education kutoka UDOM na CBE aliyekuwa Guest House akijiandaa
kufanyamapenzi na lecturer wake; mmoja akiwa katika mikao ya kihasara hosteli
na mwingine akiwa uchi katika mbuga za Serengeti. Hata hivyo baada ya kufanya
uchunguzi kidogo tu tumegundua kuwa picha hizo zimetoka katika mtandao mmoja wa
ngono kutoka Afrika Kusini na ule wa Rico unaojikita katika picha za wanawake wa
Carribean na hasa Jamaica na Haiti ambako kusema kweli mazingira yao na yetu
hayatofautiani sana.
Wanafunzi wa UDOM hebu fungukeni tuwasikie jamani.
Ni kweli ngono imetawala hapo chuoni kwenu?
Kwa mabinti, ni kweli kuwa bila kufanya ngono na walimu hufiki popote kimasomo? Au ni watu wachache tu wanaowaharibia kwa kueneza sifa hizi za uwongo?