Friday, August 30, 2013

HUYU APA RAY C AKIBATIZWA

 
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva  leo hii ameweka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Ray C amethibitisha hayo katika post zake za instagram.