UPDATE: SAID MOHAMED MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE NDIYE MFANYABIASHARA MAARUFU ALIYEMWAGIWA TINDIKALI.
Hapo ndipo inaposemekana tukio la kumwagiwa Tindikali lilitokea |
Updates
zaidi zinzendelea kututonya kwamba tukio hilo lilitokea jirani na
Ubalozi wa Marekani na jirani kabisa na Police Oysterbay.
Mthumiwa
aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati
mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo
la tukio.
Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp - Masaki.
Source: Jamii Forum