NLC
Monday, March 31, 2014
SHOW YA MKUBWA NA WANAWE NI FUNIKO NDANII YA MAISHA CLUB UKISINDIKIZWA NA MASTAR KIBAO,,MADEE.TUNDAMAN,,N,K
Huu ulikua ni usiku wa Mkubwa na wanawe ambao wasanii toka kundi la Mkubwa na wanawe walipata nafasi ya kuperfoam na kufurahi pamoja na mashabiki waliohudhuria show hii iliyofanyika New Maisha Club ya 88.5 Dar es salaam.
Tip Top Connection iliongozwa na Madee,Tunda Man na Ray kutoka Tmk Wanaume Family waliowakilishwa na Temba,Chege na Stico na kundi la mkubwa na wanawe miongoni mwa wasanii walioimba nyimbo zao ni Aslay na Gift yule aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Chapa Nyingine ya Chege.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.