Saturday, March 22, 2014

BIRTHDAY YA JOKATE A.k.a kidoti NI SHIIIIIIIDAAA,CHEKI YALIYOJILI

12Tarehe 20 March 2014 ilikua siku ambayo mrembo na mtangazaji wa TV Jokate Mwegelo alipokua akisherehekea kuingia katika mwaka wake mpya.
Party yake ndogo kwa marafiki na watu wake wengine wa karibu aliifanya Serena Hotel Dar es salaam.
15millardayo.com inamtakia Jokate kila la heri kwenye maisha yake.
14
13
10
11
7
6
5
4
1
2
3