DIFENDA 6 ZAINGIA MTAANI KUMSAKA MH: SUGU KWA KOSA LA KUWAKASHIFU WALINZI WA BUNGE
Taarifa
kutoka Dodoma zinadai kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa
walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa
ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu...
Baada ya kufungua Jalada hilo polisi
wamechukua Difenda 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani
mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.