Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo huku
Mama Salma Kikwete akisubiri zamu yake wakati walipokwenda kuomboleza na
kufariji wafiwa kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu
Abel Mwaisumo aliyefariki juzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni
nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16,
2013.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa
msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki
majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu
Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Mama
Salma Kikwete akifariji wafiwa wakati yeye na Rais Kikwete walipokwenda
kuomboleza na kutoa pole kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu
Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa
anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam
leo Agosti 16, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na viongozi
wengine wakiomboleza na kufariji wafiwa katika msiba wa Katibu Mkuu wa
Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India
alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar
es salaam leo Agosti 16, 2013.
Makatibu
wakuu pamoja na Viongozi wengine wakiomboleza na kufariji wafiwa
katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo
aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa
marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Viongozi
mbalimbali wakiomboleza katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu
Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa
anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam
leo Agosti 16, 2013.
Viongozi
mbalimbali wakiomboleza katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu
Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa
anatibiwa.
Waombolezaji
wakiomboleza katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu
Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa.
Waombolezaji
wakiomboleza katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu
Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa.
Mjane wa marehemu akiongoza wanafamilia kwenda kuaga mwili wa marehemu
Wanafamilia wakienda kuaga mwili wa marehemu
Wanafamilia
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo
aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akitoa heshima zake za mwisho
waombolezaji msibani
Baadhi ya waombolezaji msibani