Picha ya juu Katibu Mkuu
wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,akipata
matibabu jana muda mfupi baada ya kuumizwa na kitu chenye ncha kali
kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa
Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa
kongamano ya Dini ya Kiislamu jana Mkasa
huo ulitokea janamajira ya saa 12: 15 za
jioni eneo la barabara ya Tumbaku karibu na Fire, mara baada ya kumaliza
kwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya
Msingi Kiwanja Cha Ndege, Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro.Picha
ya chini baada ya kwanza juu akiwa hospitali ya taifa ya muhimbili
mchana huu kwa ajili ya matibabu
KATIBU
wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akiwa
anaingizwa katika chumba cha matibabu hospitali ya taifa ya muhimbili
-MOI leo
mchana, baada ya kupokelewa katika Hospitali ya muhimbili.
SHEIKH PONDA ISSA PONDA