Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la
Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy
amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K
Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.

Rafiki wa karibu sana na Feza anayejulikana kwa jina la Vanessa Mdee nae alikuwepo kumpokea rafiki yake.
PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR