Polisi wamkamata Manaiki baada ya kupiga picha 400 za uchi...
Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia
mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko
wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii
pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
Mwandishi
wetu amefanikwa kuzinasa picha za Manaiki akiwa chini ya ulinzi
wa polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
Habari za uhakika zilizonaswa zinasema kuwa
msanii huyo alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu
zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti.