Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na katibu msaidizi Bwn.
Julius Katanga, na Masanja Mkandamizaji akiwatayari kusalimiana na Mhe
Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana akisalimiana na Shilole.
Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi akipokea maua toka kwa Munirah
Rais Mustaafu, Ali Hassan Mwinyi pamoja na mkewe Sitti Mwinyi katika
picha ya pamoja na Brian, na Munirah, watoto waliowapa maua