MKANDAMIZAJI MASANJA AFIKA MPAKA IKULU YA MAREKANI
Comedian toka Tanzania, Emanuel Mgaya, maarufu kama Masanja Mkandamizaji
akiwa nje ya Ikulu ya Marekani jijini Washington. Masanja yuko nchini
Marekani kwa matembezi na shughuli zake za sanaa na Injili.