Picha za Maiti za Wanajeshi Kutoka Tanzania waliokufa kwa Mapambano Huko Darful
Vifo hivi
viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba
sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya
wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!!
Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!!
Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!
Askari hao waliokufa ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini Sudan ni :-
1. Sajenti Shaibu Othuman,
2. Koplo Oswald Chaula,
3. Koplo Mohamed Juma,
4. Koplo Mohamed Chikilizo,
5. Pte. Rodney Ndunguru,
6. Pte. Peter Werema,
7. Pte. Fortunatus Msofe.