Leo ni birthday ya mwanamuziki mchapa kazi, Ambwene Yessaya “AY” … Ni mwanamuziki wa siku nyingi akitimiza miaka kadhaa toka kuzaliwa kwake … AY aliandaliwa BASH jana usiku katika ukumbi wa Runway Lounge uliopo katika jengo la SHOPPERS PLAZA, Mikocheni Dar es Salaam.
Katika bash hiyo ambayo watu hawatasita kumpiga ndoo … “kama kawa” … ilihundhuriwa na watu kadhaa, ndugu, marafiki kama Vanessa Mdee, Eskado Bird, MwanaFA, Arthur, Mx, Sallam na wengineo …
AY anaizungumzia siku hii kuwa ni ya furaha sana, anamshukuru kila mtu aliemu-wish “HAPPY BIRTHDAY” especially kwenye mitandao ya jamii hasa twitter … Tazama baadhi ya picha katika Bash hiyo iliyoandaliwa kwa ajili ya birthday yake ;
ALL PHOTOS BY #SLIDEVISUALS
Sallam & Vanessa
Marafiki waliokuwepo kwenye Bday party Ya AY
Moet Ilifunguliwa kusheherekea AY kutumiza Miaka yake