Thursday, June 13, 2013

MAALIM NASH MC PALESTINA WANAMUITA YEYE CHIZI AFANYA YAKE

MAALIM NASH THE MC AKIWA NA EMMANUEL PAUL MWAIPOPO 
 MKALI WA MIONDOKO YA HIP HOP BONGO PEKEE MAALIM NASH MC KUONYESHA UMAHILI WAKE KATIKA SANAA YA HIP HOP KWA KUTOA KANDA MSETO YA CHIZI (MIXTAPE)
 MIATANO NAKALA ZA KANDA MSETO KAMA VIP YEYE MWENYEWE ANASIMAMIA 0713 900 994
NAHIKI NDICHO ALICHO KISISITIZA MAALIMU KWA WASANII NA MASHABIKI WAKE  "hivi nyie mnaoshabikia hip hop hamuoni maajabu hao wasanii mnaowaita hip hop hawana hata mixtape mitaani??? maana album ni jambo kubwa basi hata mixtape???????????? ama kweli uhondo wa ngoma uingie ucheze,yani hip hop ya hapa tanzania inapishana na dunia nzima,leo hii mtoa single radioni kwa ajili ya kuvizia matamasha akichana chana tu basi mnamuita hip hop,hivi tunafahamu kua huu utamaduni ni mkubwa au tunaushobokea tuu??? kusoma hamtaki na kujifunza pia hamtaki,halafu mnapiga kelele saaaana!! mkae mkijua mnawashabikia watoa single kwa ajili ya show na sio wawakilishi wa mtaa!!