NI mmoja kati ya wasanii walioibuka hivi karibuni katika muziki wa
bongo fleva,akiwa tayari ameshafanya nyimbo kama,nyota ya mchezo,agano
jipya,na nyingine nyingi ambazo zimemfanya awe juu kimuziki.
Suma ambaye kwasasa yupo katika tour ya muziki wake maeneo ya kanda
ya ziwa,alifunguka kupitia tizniz.com na kusema.”wasanii inabidi tujitoe
kama lady jay dee sio tunabaki kunyanyasika na media moja bila sisi
ninahakika hawewezi,hivyo wajue namuunga mkono jide kwa nguvu zote,kama
wasanii hawatajitoa tutaendelea kunyanyasika tu,watu wajifunze kwa Rama
dee mbona amechukua mpaka tuzo bila yao,so inawezekana bila ya media
moja maana zipo nyingi sana.
Binafsi sina ninachohofia eti nitabaniwa kwani hata wakibana hawawezi
kuzuia ndoto watanzania wanataka muziki mzuri so nikiachia truck kali
lazima itaeleweka tu bila wao.Harafu kama msanii huungi mkono harakati
piga kimya sio unazinguazingua wewe kaa kimya angalia mchezo uone watu
wanavyozidi kusonga bila radio moja.lazima wajue watu tumechoka kutumiwa
vibaya.NI mmoja kati ya wasanii walioibuka hivi karibuni katika muziki wa

vibaya.