Kanye West alipoiona hiyo post aliiRETWEET na kuandika ‘naelekea home now’ ambapo kwa fans walioziona picha hizi kila mmoja kaandika la kwake ila amepata lawama nyingi za kushindwa kujiheshimu na kutambua kwamba yeye ni Mama wa mtoto mmoja sasa hivi.
NLC
Thursday, October 17, 2013
MKE WA RAPER KANYE WEST (KIM KARDASHIAN) AINGIA KWENYE HEADLINE BAADA YA KUPOST PICHA ZA UTUPU INSTAGRAM