“Nahitaji kuwa Cheka mpya kielimu ili nifike mbali, miaka kumi ijayo hadi namaliza elimu yangu nitakuwa na miaka 41. Hapo nitaamua niendelee na ngumi au nifanye biashara zangu nyingine “.Habari kamili ipo kwenye gazeti la Mwananchi la Sept 17.
NLC
Tuesday, September 17, 2013
BINGWA WA UZITO WA KATI WA DUNIA (WBF) FRANCIS CHEKA KUANZA SHULE (FORM ONE)