UWANJA WA KIMATAIFA WA KENYATTA WATEKETEA KWA MOTO, KWA PICHA ZAID IZI HAPA
Sasa tayari moto
umekwishazimwa na Rais wa nchi hiyo, Jomo Kenyatta amekwishafika eneo la
tukio kukagua hali halisi ilivyo, Kwa sasa Uwanja wa ndege wa Mombasa
ndio unatumika kwa kusaidia kuendeleza shughuli za kuwasili kwa ndege
nchini humo.