Friday, August 16, 2013

MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI JIJINI MWANZA


WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi mkoani Mwanza wakati wakijaribu kuiba katika kituo cha mafuta cha GBP.

Akizungunzumza na mwandishi wetu, shuhuda mmoja ambaye alikuwa eneo la tukio hilo alisema kuwa majambazi hao walifika katika kituo hicho cha mafuta wakitaka kuiba.