Ni mazoea ambayo watu wake wamekua nayo
kwamba akiwa na tukio kama hili basi ni lazima atalifanya kwenye
mojawapo ya club za usiku Dar es salaam kama alivyokua akifanya mara
nyingi lakini this time staa huyu anaelipwa ghali zaidi kwenye show zake
ambae pia siku zake za kupumzika mara nyingi ni jumatatu au jumanne
ameenda kwenye levo nyingine.
Diamond Platnumz kesho August 29 2013 anategemea kuitambulisha kwa fans wake video yake mpya kabisa ambayo picha zake zilisambaa kwenye mtandao ambapo ameishoot Afrika Kusini na hili tukio litafanyika kwenye hotel ya kifahari Dar es salaam… Serena.
Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na wengine lakini this time Diamond Platnums amekodi ukumbi alafu hataki watu walipe kiingilio, yani anaalika tu.