Huyu ni mtoto wa Prof Jay anaitwa LISA ndio ameingia nyumbani hapa kwenye msiba wa bibi yake kipenziHali
ilivyo asubuhi hii hapa nyumbani kwa Prof Jay ambapo ndipo ulipo msiba
wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja msiba upo Mbezi mwisho baada ya stendi
mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono wako wa kushoto utaingia utaona
nyumba kumba ipo kwa chini na magari mengi basi ndio hapo hapo. Kwa
wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo stendi mpya utamwambia konda
akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo hicho. RIP MAMA MAJANJALA
Pichani
ni wasanii wa bongo fleva wakiacha kumbukumbu katika kitabu cha
maombolezo. Kushoto ni Dullayo pamoja na mdogo wake Prof Jay anaitwa
Black Rhino mwenye tshirt ya kijani