Kutokana
na kitendo chake cha kuchelewa mara kwa mara kwenye shoo mwanadada
Rihanna ajikuta yupo katika wakati mguu baada ya mashabiki kumwagia
chipsi.
Mashabiki
hao walionyesha kuchoshwa na tabia yake ya kuchelewa ovyo kwenye
maonyesho yake,safari hii mashabiki hao walionekana kujipanga ili
kuikomesha tabia hiyo ya mwanadada huyo kwa kumwagia chips jukwwani
baada ya kuchelewa kufika katika onesho lake la Diamonds huko
Manchester, Uingereza . onyesho hilo lilifanyika siku ya Jumanne wiki
hii.
Kutokana
na kitendo hiko kilikuwa cha ghafla mwanadada huyo hakufikilia kutumia
njia ya haraka hata kuchukua mwamvuli wake maarufu 'Umbrella' kujikinga
na chips hizo kutoka kwa mashabiki hao ambao pamoja na hasira lakini
bado walimngoja kwa hamu.
Rihanna
alichelewa kwa saa moja, lakini kitendo hiko si cha mara ya kwanza
kuchelewa katika matamasha yake hali inayopandisha hasira kwa mashabiki
wake wanaofika kwa wingi kumuona.
Mwezi march mwaka huu alichelewa masaa 2 katika onyesho la Montreal, July 6 alichelewa tena masawa mawili huku akiwa amelewa chakali.
Rihanna baada ya kumwagiwa chipsi hizo jukwaani kutoka kwa mashabiki wake alijikuta akijibu mashambulizi hayo kwa kutoa maneno makali