Muigizaji mashuhuri
toka Nollywood/Ghollywood aitwaye Yvonne Okoro hivi karibuni amekuwa
kwenye majibizano makali na kupitia mtandao wa twitter mara baada ya
kuandika maneno yenye mtazamo wa kingono.
Muigizaji huyo wa Nollywood/ Ghollywood akijiamini aliandika kwenye twitter akisema “Njia nzuri ya kuyafanya meno ya mtu kuwa meupe ni mbegu za kiume”.
Kama ilivyotarajiwa, mashabiki waliitafsiri tweet hiyo kwenye kiwango kingine, wakianza kumshambulia na kumuita role modo mbaya.
Na gafla akakimbilia kujilinda kutoka kwa mashabiki wengine wenye msimamo mkali.
Kiukweli
tweets zake imeonekana kuwavuruga baadhi ya mashabiki zake sababu yeye
ni kioo cha jamii huku baadhi wengine wakifikia hatua ya kumuita majina
ya ajabu.
Ila muigizaji huyo aliitetea hoja yake kwa nguvu zote....