Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja (mwenye t-shirt
nyeupe) akiwa mikononi mwa vijana wasamalia mwema waliomkamata katika
moja ya mabanda ya maonyesho ya sabasaba akikwapua simu katika banda
hilo huku akiwa ameharibika usoni baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi
na raia
Kibaka akiwa kwenye mikono ya mwana usalama wa JKT akipelekwa katika
Kituo Cha Polisi Cha Sabasaba Mara baada ya kupokea Kichapo.