MASANJA AIKANDAMIZA BANK YA CRDB
HATIMAYE MASANJA MKANDAMIZAJI AIBUA KASHFA HII YA UBAGUZI NDANI YA CRDB BANK NCHINI TANZANIA
Katika upekuzi wangu , niliamua kumtembelea masanja mkandamizaji kuona alichokandamiza jioni hii...
Hii
ni post yake facebook iliyofichua UBAGUZI wa bank ya CRDB
katika utoaji wa ajira kwa wasomi wetu hapa nchini...
------------------------------------------------------------------------
Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover
different regions/branches all over the country as indicated below.
•Arusha
•Bagamoyo
•Bukoba
•Dar es Salaam
•Geita
•Ifakara
•Karagwe
•Kigoma
•Kilombero
•Makambako
•Mbeya
•Morogoro
•Njombe
•Shinyanga
•Singida
•Songea
•Tabora
Minimum Requirements
•Final year student from UDBS also other UDSM Students will be considered
•GPA of at least 3.5
•The applications should comprise CVs, Provisional results, a cover
letter indicating the station/branch of preference among the mentioned
above.
Due to limited space only shortlisted candidates will be contacted.
Deadline: 10th July, 2013 at 1500hrs
Submission: online (career@udbs.udsm.ac.tz) or B.324 (office hours)
SWALI: TANZANIA KUNA VYUO VIKUU VINGAPI?