Lulu ameandika…
“Daah..dnt even know whr to start!!!!okay....umekuwa ni mtu
muhimu sana katika maisha yangu...mtu mwenye kunipenda kwa dhati na
kunithamani...kila ninapokuwa najaribu kukuelezea huwa nakosa cha
kuongea na najisikia kulia tu....!!!nina uhakika sina cha kukulipa
zaidi ya kukuombea uishi maisha marefu yenye amani,afya na
faraja!!!HAPPY BIRTHDAY DADDY CHENI......♥”
Dr. Cheni amekuwa ni mtu wa karibu sana wa mwanadada Elizabeth
Michael na ni mmoja wa watu waliofanikisha kwa kiwango kikubwa kwenye
upatikanaji wa dhamani wa mwanadada huyu katika kesi inayomkabili.Happy birthday Dr.Cheni.