HIVI NDIVYO HASHEEM THABEET ALIVYOINGIA UWANJA WA TAIFA NA KUSHANGILIWA NA WATANZANIA
Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA,
Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye
Uwanja wa Taifa,Dar.
Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia
mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu
sana.