Wednesday, July 10, 2013

BREAKING NEWSS WALIO KAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA SOUTH AFRICA AGNESS,MELIC NI M,AJANGA MAKUBWA SANA HUKO

KINACHOWEZA KUWATOKEA AGNES NA MELISA

Kabla ya kuingia mtandaoni niliweza kupata kuwasiliana na Raia mmoja anae ishi South Africa na aliweza kuniambia kinacho weza kuwatokea Raia wa kitanzania walio kamatwa na madawa ya kulevya nchini South Africa.......
chini picha za message alizokua akinitumia kijana huyo...jina tunalihifadhi......