MAMA MZAZI WA PROFESSA JAY AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Ilikuwa
majira ya saa 1 usiku ndipo tulipopata habari ya ajali ya mama maeneo
ya Mbezi mwisho akitokea nyumbani kwa Prof Jay anapoishi nae akielekea
dukani. Wakati anarudi nyumbani akivuka barabara ndipo ajali hiyo
ikampata na kuhaishwa hospitali ya Tumbi hadi mauti kumkuta. Mungu
ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi Amen.