Thursday, June 13, 2013

KALA JEREMIA AWASILISHA TUZO YA MWANAMZIKI BORA WA HIP HOP BONGO KWA MAMA MZAZI WA ALBERT MANGWAIR


 AFANDE MSELE PIA AKIWAKILISHA VEMA  MAPOKEZI YA KALA

 KALA AKIMKABIDHI MAMA MZAZI WA MAREHE ALBERT MANGWAIR
HUYU NDIE MAMA MZAZI WA MANGWAIR KAKABIDHIWA TUZO YA MWANAMZIKI BORA WA HIP HOP TANZANIA NA KILIMANJARO AWARDS