Saturday, June 15, 2013

BREAKING NUZZZZZZZZZZZ



Katika hali isiyokuwa ya kawaida bomu la kurusha kwa mkono limerushwa baada ya kamanda Mbowe kumaliza kuhutubia na hatimaye limeua watu kadhaa na kujeruhi. Hali ni ya hatari kwa sasa.

TUPO NAWE TUTAKUJILISHA KINACHOENDELEA