Friday, June 14, 2013

BREAK NEWS...... MASELE APATA AJALI NA YUKO HOSPITALI SASA

asele amepata ajali na jamaa anaitwa Nassor aka Cholo, Masele yupi Mabawa Polisi na Cholo yupo Bombo hosp...
kwa hiyo hakuna ALIYEFARIKI kama taarifa ilivyo katika mitandao ya kijamii mapema leo.