BINAMU AKIWA KWENYE MAZOEZI YA NGUVU YA KUTHIBITISHA ANAKONDA HAYUPO MUJINI Jana usiku, mazoezi ya show yalikuwa
yakiendelea katika ukumbi wa NATIONAL MUSEUM sehemu ambayo MwanaFA‘s
show ya THE FINEST itafanyikia … At our presence, band nzima
yaKILIMANJARO (Wananjanje), MwanaFA, Mandojo & Domokaya, Ben Pol,
Dully Sykes, Linah, Maua na wengineo walikuwa wanajiandaa vyema kwa
ajili ya Corporate Hip-Hop show hiyo itakayofanyika leo kuanzia saa 3
usiku …