
Huduma hii rahisi kutumia itakuwezesha kuweka pesa na kutoa pesa kwenye akaunti yako ya NMB kupitia simu yako ya mkononi kupitia Tigo pesa ambapo huduma hii imezinduliwa rasmi February 12 na Meneja Biashara wa Tigo Pesa Mr. Ruan Swanepoelsign na kutoka NMB makubaliano haya yalifanywa na CEO and Chief Risk Officer Tom Borghols.

