Tuesday, February 11, 2014

NGUO ZA DIAMOND ZENYE BRAND YA WCB ZAFIKA TAYALIII,SO UZINDUZI NDO UNAOFUATA


dimondiDiamond aliwahi kusikika akizungumzia kuhusu kuja kwa nguo zake ambazo zitakuwa na brand ya WCB na kuuzwa kwenye maduka mbalimbali.
Mwaka jana Diamond alikaa China zaidi ya wiki nzima kabla ya kufanya show ambapo moja ya mipango iliyomuweka ni kufanya maandalizi ya nguo hizo.
Muda wa kuzitoa unaonekana umekaribia kutokana na teaser aliyoitoa kupitia account zake za mitandao ya kijamii kuhusu hizo nguo.
millard
millard2