
Japokua hajawahi kusema wala kutangaza kwenye vyombo vya habari, vyanzo tofauti vya uhakika vinaonyesha kwamba Kim ni mjamzito, hata kwa waliomuona live wameshuhudia hivyo.
Stori imetokea kwenye Fashion week ya New York City ambapo alionekana akiwa mjamzito akiwa amekaa pembeni ya Perez Hilton.
Bado haijajulikana baba mtoto wala info nyingine za ndani kuhusu huu ujauzito ila pichaz kadhaa tayari zimeshapatikana.


