
Cristiano
Ronaldo ametimiza miaka 29 na ana kila sababu ya kusherekea maisha yake
yenye mafanikio kwenye kazi yake anayofanya ukizingatia ametoka
kushinda Ballon D’or.
Sasa basi kama kawaida ya birthday huenda na zawadi za hapa na pale,
katika kitu ambacho watu wengi hawakutegemea ni pale Zlatan Ibrahimovic
ambaye ni mmoja kati ya wachezaji wa level kama Cristiano alivyomtumia
zawadi hii.

Zlatan
amemtumia T shirt Cristiano Ronaldo ambayo imeandikwa “Dare to Zlatan”
na ameipiga picha kuiweka twitter akimtakia happy birthday na kumwambia
kwamba nimekutumia T shirt unayoipenda.
Kwenye hali ya utani Cristiano alimjibu kwamba asante kwa zawadi lakini hii T shirt itanipendeza mimi zaidi yako.