Thursday, October 17, 2013

MENEJA WA BENKI YA NMB LUCRESIA MAKIRIYE AKITOA MSAADA WA VITANDA VYA HOSPITALI NA MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI IRINGA


image02
Meneja wa NMB kanda ya Nyanda za juu , Lucresia Makiriye akimkabidhi mganga mkuu wa hospitali ya halmashauri ya Iringa, Raymond Kiwone , sehemu ya msaada wa vitanda vya wodi ya wazazi uliotolewa na benki ya NMB.image01Maafisa wa benki ya NMB wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa hospitali hiyo baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika katika viwanja vya hospitali ya halmashauri ya Iringa image00
Meneja wa NMB kanda ya Nyanda za juu Lucrecia Makirie akimkabidhi Afisa Elimu wa Halmashauri wilaya ya Iringa, Yusuph Mpwatile sehemu ya msaada wa madawati ya shule za msingi jimbo la kalenga .Msaada huo umetolewa na Benki ya NMB ili kusaidia katika juhudi za kupunguza uhaba wa madawati shuleni katika mkoa wa Iringa.