
TV
star Kim Kardashian ambae ni baby mama wa rapper Kanye West ameingia
tena kwenye headlines baada ya picha zake kusambaa akiwa ameziba tu
sehemu ndogo ya mwili wake huku akiweka msisitizo kwenye instagram
kwamba #Nofilter yani hajaongeza mbwembwe zozote za kiteknolojia kwenye
muonekano wa picha.
Kanye West alipoiona hiyo post aliiRETWEET na kuandika ‘naelekea home
now’ ambapo kwa fans walioziona picha hizi kila mmoja kaandika la kwake
ila amepata lawama nyingi za kushindwa kujiheshimu na kutambua kwamba
yeye ni Mama wa mtoto mmoja sasa hivi.
