Baada ya mh.waziri mkuu mizengo pinda kutoa ruhurusa kwa polisi kupiga wananchi..Mh mbunge zitto kabwe nae atoa lake
juu
ya mh.waziri mkuu…Kupiitia tweet yake Zitto alisema “Viongozi wa
kisiasa lazima wajue kuwa Kakiba ya maneno yao .kuropoka hovyo hovyo
wakati kama huu wenye taharuki ni hatarii sana”..Aliongezea “Ni lazima
viongozi wawajibishwe kwa maneno wanayotamka.Mh. Pinda anahamasisha
ukiukwaji wa katiba na sheria Asipowajibishwa.!”
