Saturday, June 22, 2013

BREAKIN NEWZZZZZ MSIBA TENA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mama mzazi wa 
mwanamziki Barnaba amefariki dunia
bado haijaelezwa chanzo cha kifo hicho..shareadvert inaendelea
 kufuatilia na tutakujulisha chochote kitakachoendelea....