Friday, June 21, 2013

BREAKIN NEWSSS

BREAKING NEWS: MTUMBWI WAZAMA, WAUA WATU WATATU KAGERA
Wavuvi watatu wamepoteza maisha baada ya mtumbwi wao kuzama katika mwalo wa Kanyangereko uliopo Maruku mkoani Kagera. Wengine wanne waliokuwa ndani ya mtumbwi huo wameokolewa.