Saturday, June 22, 2013

BOB JUNIOR AKA SHAROBARO KICHAPU HATARII APOKEA

Bob Junior akiwa location kushoot video yake mpya

Ameandika: Ilikuwa hatari sana ni sehemu ngumu sana hapo kufanya video si mchezo



Bob Junior ameshare picha hizi kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika: Kwa Dizaini hii lazima nirudi kwetu K………..Aaaaah Maisha Haya Ya Bongo?,,,,COMING SOON Huu Mzigo…1 Love.