Saturday, June 22, 2013

MSANII DIAMOND PLUTNMUZ APOKEWA NA MAELFU YA WATU CHINI COMORO

Dimond Platnumz na crew yake ya Wasafi wamewasili nchini Comoro jana jioni tayari kwa makamuzi ya show itakayofanyika leo Jumamosi (June 22).