Friday, June 21, 2013

BREAKIN NEWS : BAAADA YA MBUNGE MOSES MACHALI KUPIGWA

JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LINAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MBUNGE MOSES MACHALI


Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba jeshi la polisi mkoani dodoma linawashikiria watu wawili kwa tuhuma za kumpiga mbunge Moses Machalli.Machalli amelazwa katika hospitali ya mkoa dodoma General na anaendelea vizuri.